Pages

KAPIPI TV

Saturday, December 6, 2014

MKUU WA WILAYA YA SIKONGE ASHITUKIZA KUKAGUA UJENZI WA MAABARA ZA SEKONDARI

Mkuu wa wilaya ya Sikonge Bi.Hanifa Selengu akifanya ukaguzi wa ujenzi wa Shule za Sekondari wilayani humo na kubaini mapungufu kadhaa ikiwa ni pamoja na ofisi za Watendaji wa Kata kushindwa kutekeleza kwa wakati ujenzi huo ulioagizwa na Rais Jakaya Kikwete kwa nchi nzima kukamilisha ujenzi wa maabara hizo.
Baadhi ya vifaa vya ujenzi vikiwa vimewekwa huku muda rasmi wa kukamilisha ujenzi huo wa maabara ukiwa unaendea ukingoni kwa kama si kuisha kabisa.




No comments: