UVCCM TABORA MJINI WAVITAKA VYAMA VYA UPINZANI KUFANYA KAMPENI ZA UCHAGUZI WA MITAA KISTAARABU
Mwenyekiti Jumuiya ya Vijana wa Chama cha Mapiduzi wilaya ya Tabora mjini Bw.Lucas Masanja akizungumza na wananchi katika viwanja vya Stendi ya zamadi Tabora mjini wakati wa mkutano wa hadhara ulioandaliwa na UVCCM.
Baadhi ya wanachama wa Chama cha Mapiduzi wakimsikiliza Mwenyekiti huyo wa UVCCM wilaya ya Tabora mjini.
No comments:
Post a Comment