Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema akitua katika viwanja vya Town School mjini Tabora kwa ajili ya mkutano wa Operesheni DELETE CCM. |
Umati mkubwa wa wananchi wa Tabora mjini ulihudhuria katika mkutano huo |
Baadhi ya viongozi wa vyama vya upinzani wa mkoa wa Tabora walipata fursa ya kusalimia wananchi katika mkutano huo |
Wananchi walimtaka Bw.Freeman Mbowe achangishe fedha kwa ajili ya kuimarisha utekelezaji wa Operesheni DELETE CCM. |
No comments:
Post a Comment