Rais Jakaya Mrisho Kikwete akumuapisha DktYohana Budeba kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 6, 2014PICHA NA IKULU
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akumpa vitendea kazi DktYohana Budeba kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 6, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akumuapishaInjinia Mbogo Futakamba kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maji ikulu jijini
Dar es salaam leo Novemba 6, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa vitendea kaziInjinia Mbogo Futakamba kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maji ikulu jijini
Dar es salaam leo Novemba 6, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akumuapisha na kumpa vitendea kazi DktDonan Mmbando kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii
Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 6, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa vitendea kazi DktDonan Mmbando kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii
Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 6, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akumuapishaMhe Jack Mugendi Zoka kuwa Balozi wa Tanzania nchini Canada Ikulu
jijini Dar es salaam leo Novemba 6, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa vitendea kaziMhe Jack Mugendi Zoka kuwa Balozi wa Tanzania nchini Canada Ikulu
jijini Dar es salaam leo Novemba 6, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akumuapishaMhe Charles Pallangyo kuwa Katibu Tawala wa mkoa wa Geita Ikulu
jijini Dar es salaam leo Novemba 6, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa vitendea kaziMhe Charles Pallangyo kuwa Katibu Tawala wa mkoa wa Geita Ikulu
jijini Dar es salaam leo Novemba 6, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akumuapishaBw, Adoh Stephen Mapunda kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha Ikulu
jijini Dar es salaam leo Novemba 6, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa vitendea kaziBw, Adoh Stephen Mapunda kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha Ikulu
jijini Dar es salaam leo Novemba 6, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi OmbeniSefue wakiwa katika picha ya pamoja na Makatibu wakuu na Makatibu
Tawala wa Mikoa wapya baada ya kuwaapisha Ikulu jijini Dar es salaam
leo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Balozi mpya wa Tanzania NchiniCanada Mhe. Jack Mugendi Zoka , pamoja na mabalozi wengine kutoka
kushoto Balozi Mbelwa Kairuki (Mkurugenzi wa Idara ya Asia na
Austrlia). Balozi Simba yahya (Mkurugenzi dara ya Mashariki ya Kati na
Balozi Celestine Mushi, Mkurugenzi wa Idara ya Uhusiano wa Kimataifa.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Dkt Ibrahim Hamisi Msangikuwa Mkuu wa Mkoa wa Katavi leo Ikulu jijini Dar es salaam
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe Halima Omary Denengokuwa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara leo Ikulu jijini Dar es salaam
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe John Vianney Mongellakuwa Mkuu wa Mkoa wa Katavi leo Ikulu jijini Dar es salaam
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe Samwel WilliamShellukindo kuwa Balozi na Msaidi wa Rais Masuala ya Diplomasia leo
Ikulu jijini Dar es salaam


No comments:
Post a Comment