Pages

KAPIPI TV

Saturday, November 1, 2014

MAMIA WAMZIKA BENKIKO KIJIJINI KWAO WILAYANI SIKONGE

Baadhi ya wananchi wakipokea kwa heshima kubwa mwili wa aliyekuwa mwandishi wa habari mkongwe Marehemu Hamisi Benjamini Kikoloma maarufu BENKIKO ambaye alifariki katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar-es-Salaam ambapo amezikwa leo kijijini kwao wilayani Sikonge mkoani Tabora.

No comments: