Pages

KAPIPI TV

Sunday, September 28, 2014

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AANZA ZIARA WILAYANI LUSHOTO

01Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasili katika kitongoji cha Kwesimu wakati alipokitembelea kikundi cha kuhifadhi Mazingira katika eneo hilo ambapo ameshiriki kazi za mikono za kuotesha miche katika kikundi hicho, Kinana leo ameanza ziara ya kikazi wilayani Lushoto akikagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 na kuhimiza wananchi kushiriki katika shughuli za maendeleo, akiwa ameongoza na na Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi katikati na kulia ni Mh. Henry Shekifu Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tanga.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-LUSHOTO-TANGA) 
 1 
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kwa vitendo katika kazi ya kuotesha miche ya miti wakati alipokitembelea na kukagua shughuli za kikundi cha kutunza Mazingira cha Kwesimu wilayani Lushoto. 3Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi akipiga gitaa huku akiimba kabla ya kunaza kwa kikao cha ndani cha halmashauri ya wilaya ya Lushoto.6Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wajumbe wa Halmashauri kuu ya CCM wilaya ya Lushoto 9Baadhi ya wajumbe wakiwa katika mkutano huo.4Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki katika ujenzi wa ofisi ya CCM tawi la Jegestal mjini Lushoto. 7Baadhi ya miche ambayo imeoteshwa na kikundi cha kutunza mazingira cha Kwesimu mjini wilayani Lushoto.5Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwapungia wananchi mkono mara baada ya kuwasili katika kata ya Mlola ambapo amewahutubia wananchi. 8Baadhi ya wananchi waliohudhuria katika mkutano huo. 10 11Baadhi ya wananchi waliohudhuria katika mkutano huo. 12Mbunge wa jimbo la Korogwe vijijini Mh. Steven Ngonyani akiwahutubia wananchi wa Mlola wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika kata hiyo leo 13Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi akiwahutubia wananchi wa Mlola wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika kata hiyo leo 14Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisisitiza jambo wakati akiwahutubia wananchi wa Mlola wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika kata hiyo leo 15Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi wa Mlola wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika kata hiyo leo 17Mkuu wa wilaya ya Lushoto Mhe. Majid Hemed Mwanga akifafanua jambo kwa wananchi mbele ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wakati wa kipindi cha maswali na majibu kwa wananchi. 18Mmoja wa akina mama waliofika kwenye mkutano huo akiuliza swali kuhusu mambo ya afya.

No comments: