Pages

KAPIPI TV

Saturday, September 27, 2014

"WAJAWAZITO WALAZWA WAWILI,WATATU KWENYE KITANDA KIMOJA HOSPITALI YA RUFAA KITETE,HOFU YA MAGONJWA YA MLIPUKO"-TABORA

Baadhi ya akina mama wajawazito ambao wamelazwa katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Tabora Kitete wakisubiri kujifungua,katika kitanda kimoja chenye upana wa futi mbili na nusu wanalazimika kulala akina mama wawili hadi watatu kutokana na ufinyu wa nafasi na upungufu wa vitanda.
Kulazwa kwa kinamama hawa bado inatajwa kuwa ni hatari kiafya endapo itajitokeza mlipuko wa magonjwa.


No comments: