Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya
Equator Automech, Robert Ndege(wa kwanza kushoto) akielezea namna
Kampuni yake itakavyoshrikiana na Jeshi la Magereza kupitia Shirika lake
la Magereza katika miradi mbalimbali ya Uzalishaji ikiwemo ya
Kilimo(katikati) ni Mkurugenzi Mshauri wa Kampuni hiyo, Ahmed Bakari
akifuatilia mazungumzo hayo.
Maafisa Waandamizi wa Jeshi la
Magereza wakifuatilia mazungumzo ya namna Kampuni ya Equator Automech
itakavyoshrikiana na Jeshi la Magereza kupitia Shirika lake la Magereza
katika miradi yake ya Kilimo. Mazungumzo hayo yamefanyika leo Agosti 13,
2014 Jijini Dar es Salaam(wa kwanza kulia) ni Kamishna wa Sheria na
Uendeshaji wa Magereza, Dkt. Juma Malewa(wa pili kulia) ni Kamishna wa
Fedha na Utawala wa Magereza, Gaston Sanga(katikati) ni Mkuu wa Kitengo
cha Kilimo na Mifugo, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza, Mlasani
Kimaro(wa kwanza kushoto) ni Mthibiti wa Fedha wa Jeshi la Magereza,
Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza, Gideon Nkana(wa pili kushoto)
ni Mwanasheria wa Jeshi la Magereza, Mrakibu Mwandamizi wa Magereza,
Issack Kangura(Picha zote na Lucas Mboje wa Jeshi la Magereza).
No comments:
Post a Comment