Waziri wa Mambo ya Nje
na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (wa pili kushoto), akionyesha CD ya
filamu mpya iitwayo ‘I Love Mwanza’, iliyoandaliwa na Lake Zone Youth
Empowerment Foundation kwa kushirikiana na Tropical Media Tanzania Ltd, baada
ya kuizindua katika hafla iliyofanyika jijini Mwanza Jumamosi usiku.
Wanaoshuhudia ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu (wa watatu
kushoto), Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF), Simon Mwakifwamba
(kushoto), na Mwenyekiti wa Chama cha Sanaa za Kuigiza |
No comments:
Post a Comment