Mkurugenzi wa Benki ya Dunia nchini Tanzania Philippe Dongier
akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa kivukoni Serena
Hotel jijini Dar es Salaam, akiwa pamoja na Mwandishi wa Mada Ndugu
Jacques Morisset ambapo aliwaeleza waandishi hao Tanzania ina nafasi
kubwa ya kupanua wigo wa ajira kwa kutengeneza mazingira ya kufanyia
kazi yenye ubora hasa kwenye miji inayokuwa kwa kasi hii itasaidia
kupunguza tatizo la ajira kwa Vijana na Wanawake.
Mkurugenzi wa Benki ya Dunia nchini Tanzania Philippe Dongier
akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa kivukoni Serena
Hotel jijini Dar es Salaam, akiwa pamoja na Mwandishi wa Mada
Ndugu Jacques Morisset ambapo alikiri pamoja na kukua kwa uchumi lakini
bado uchumi haujafungua au kutengeneza ajira kwa wananchi .(Picha na Adam Mzee).
No comments:
Post a Comment