Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya watu wa China Li Yuanchao akipunga mkono wakati
akiteremka katika ndege na kuwasili Zanzibar kwa ziara ya kikazi ya siku
mbili. Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Li Yuanchao akivishwa shada la
Mauwa baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Zanzibar. Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya watu wa China Li Yuanchao wakwanza kulia
akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Zanzibar baada ya
kuwasili,katikati ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali
Idi. Makamu
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi kulia akiwa pamoja na
mgeni wake Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Li Yuanchao
wakikagua gwaride rasmi lililotayarishwahapo katika Uwanja wa Ndege wa
Zanzibar. -Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya watu wa China Li Yuanchao akiangalia ngoma ya
Utamaduni (Msewe)baada ya kuwasili Uwanja wa ndege wa Zanzibar. Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Li Yuanchao kushoto akiwa pamoja na
Meneja wa Hoteli ya Lagemma,Andrew Cook wakwanza kulia walipowasili
katika Hoteli hio huko Nungwi kaskazini Unguja kwa ajili ya Kikao
Maalum.
PICHA NA MAKAME MSHENGA-MAELEZO ZANZIBAR.
No comments:
Post a Comment