Baadhi ya watoto ambao wengi wao ni wanafunzi wa shule za msingi Tabora mjini wamekuwa wakifanyishwa biashara wakati wanapokuwa likizo jambo ambalo kwa baadhi ya watoto hasa wa kike wamekuwa wakijikuta wanakumbwa na masahibu makubwa yakiwemo ya kuanza ngono katika umri mdogo |
No comments:
Post a Comment