Pages

KAPIPI TV

Friday, May 2, 2014

SHEREHE ZA MEI MOSI,MFUKO WA BIMA YA AFYA WAPONGEZWA TABORA

Wafanyakazi wa mfuko wa Bima ya Afya Tabora wakishiriki Mei Mosi
Baadhi ya wafanyakazi wa Mfuko wa Bima ya Afya NHIF wakiongozwa na Meneja wa Mfuko huo Bw.Emmanuel Adina katika maandamano ya Sherehe za Mei Mosi ambapo Mfuko huo ulipongezwa kwa kuboresha shughuli zake na hasa uanzishwaji wa Mfuko wa Afya ya Jamii na utaratibu wa tiba kwa kadi maarufu TIKA katika maeneo mbalimbali ya mkoa wa Tabora.
Wafanyakazi wa Benki ya NMB wakishiriki maandamano ya Mei Mosi
Wafanyakazi wa Benki ya Posta mkoani Tabora
Benki ya Posta Tabora walishriki ipasavyo
Wafanyakazi kutoka ofisi ya Mkurugenzi wa halmashauri ya manispaa ya Tabora

Viongozi wa kada mbaimbali ambao walihudhuria sherehe hizo za Mei Mosi zilizofanyika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi Tabora.

Mgeni rasmi katika sherehe za Mei Mosi aliyemwakilisha Mkuu wa mkoa wa Tabora ambaye pia ni Mkuu wa wilaya ya Igunga Bw.Elibarik Kingu ambapo katika hotuba yake iliwatia moyo Wafanyakazi katika kukabiliana na kero mbalimbali.
Wafanyakazi wa Redio CG Fm walihudhuria katika maadhimisho hayo ya Mei Mosi








No comments: