Pages

KAPIPI TV

Friday, May 2, 2014

"TUMEKAMILIKA KILA IDARA,TUNAZIDI KUSONGA MBELE"-CG FM 89.5 RADIO TABORA

Timu ya kikosi kamili cha watangazaji wa kituo cha Redio mkoani Tabora  kinachotamba  na kujulikana  kwa jina la CG FM ambapo matangazo yake yanapatikana kupitia masafa ya 89.5....CG FM kwa sasa mbali na kupatikana mkoa wa Tabora pekee lakini pia wanapatikana katika mikoa kadhaa inayopakana na Tabora huku ikitangaza vipindi mbalimbali vya kijamii,burudani na michezo bila kusahau taarifa ya habari iliyosheheni habari za uchunguzi wa kina kwa ngazi ya mkoa,Kitaifa na Kimataifa.  

No comments: