Pages

KAPIPI TV

Friday, May 2, 2014

"HUYU SI MHALIFU BALI NI MSHINDI WA KWANZA MASHINDANO YA MBIO ZA BAISKELI-TABORA"

Hakuwa ni mhalifu kama anavyoonekana kushikwa na askari Polisi hao bali ni mshindi wa kwanza katika mashindano ya Baiskeli yaliyofanyika katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi wakati wa Sherehe za Maadhimisho ya Sikukuu ya Wafanyakazi Mei Mosi ambapo mshindi huyu alipitiliza kiwango cha kuzunguuka uwanja huo kwakuwa walitakiwa wazunguuke mara 30 lakini alipitiliza na kuhitaji azunguuke zaidi ya mara 50 ndipo akazuiliwa huku akiwa amewashinda wenzake zaidi ya 45 waliokuwa wameshiriki mashindano hayo
Wakati kipenga cha kwanza kilipopigwa kuashilia kuanza kwa mbio hizo za mzunguuko wa raundi 30


No comments: