Pages

KAPIPI TV

Friday, April 25, 2014

POLISI KUSHIRIKIANA NA TABORA PARALEGAL CENTRE KUKABILIANA NA UKATILI WA KIJINSIA

Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora ACP Suzan Kaganda akifunga mafunzo ya Wasaidizi wa kisheria mkoa wa Tabora ambapo aliahidi kushirikiana na Jeshi la Polisi katika kukabiliana na vitendo vya ukatili wa kijinsia mkoa wa Tabora.
ACP Suzan Kaganda katika picha ya pamoja na viongozi wa Tabora Paralegal Centre na Wasaidizi wa msaada wa kisheria wakati wa ufungaji wa mafunzo hayo.

Mkurugenzi wa Tabora Paralegal Centre Bi.Martha Sizya .


No comments: