

Waziri
 Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza  na watalaamu wa magonjwa ya figo 
katika maadhimisho  ya kilele cha wiki ya Afya  ya Figo, kwenye viwanja 
vya Nyerere mjini Dodoma Machi 13, 2014.Kutoka kushoto ni  Dr. Tulizo 
Sanga wa Muhimbili, Kulindwa Kasubi wa Muhimbili na Regina Ringo  wa 
Hospitali ya Mirembe ya Dodoma. Katikati ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali
 na Mwenyekiti wa  wa Taasisi ya Taifa ya Figo Tanzania Jaji Frederick 
Werema na kushoto kwake ni Dr. Linda Ezekiel kutoka Wizara ya Afya. 
(Picha na Ofisi ya  Waziri Mkuu).

Waziri
 Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na baadhi ya viongozi baada ya kuhutubia  
katika maadhimisho ya kilele cha wiki ya Afya ya  Figo kwneye  viwanja 
vya Nyerere mjini Dodoma Machi 13, 2014. Kushoto ni Naibu Waziri  wa 
Afya, Dr. Kebwe Stephen Kebwe na kushoto kwa Waziri Mkuu ni Mwanasheria 
Mkuu wa serikali na  Mwenyekiti wa Taasisi ya Taifa ya Figo, Jaji 
Frederick Werema. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
 




 
 
No comments:
Post a Comment