Madereva
Bajaj wakiwa nje ya ofisi za Chadema makao makuu Kinondoni wakipinga
tamko la kuzuiwa kuingia kati kati ya mji na maeneo ya mjini.
Mmoja wa Madereva Bajaj akiongea na vyombo vya habari mda huu makao makuu ya Chadema Kinondoni.
Polisi
wakiwa wamefika eneo la tukio mda huu ili kuweza kuweka hali ya usalama
na kuzuia vurugu Waendesha bodaboda na bajaj jijini dar mda huu
wameandamana mpaka Ofisi za chadema makao makuu kinondoni,Nia ya
maandamano yao hayo ni kupinga tamko linalowataka kutopeleka abiria
maeneo yote ya kati kati ya jiji la dar.Mmoja wa madereva hao akiongea
na mtandao wetu anasema kwamba wameamua kuandamana mpaka ofisi za
chadema kwa kuwa wanaamini ndio watapata msaada.Taarifa kamili na picha
zaidi zitakujia inakujia hivi punde.(HABARI NA DJ SEK BLOG).
No comments:
Post a Comment