 Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
 akipokea Maandamano ya Wanafunzi na Walimu wa Shule za Sekondari, 
Msingi na Vyuo Vikuu, wakati wa Sherehe za maadhimisho ya miaka 10 ya 
Siku ya Pai Tanzania, iliyofanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini
 Dar es Salaam, leo Machi 14, 2014. (Picha na OMR).

Sehemu
 ya Wanafunzi na Waalimu, wakipita mbele ya mgeni rasmi Makamu wa Rais 
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakiwa 
na mabango yenye ujumbe kuhusiana na Sherehe za maadhimisho ya Siku ya 
Pai Tanzania, zilizofanyika kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es
 Salaam.

Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
 akimkabidhi zawadi, Julian Ilunga, wa Shule ya Sekondari Kitangili 
Mwanza,  aliyeibuka mshindi wa kwanza katika shindano la ‘Junior 
Mathematics Contest 2013’ wakati wa sherehe za maadhimisho ya Siku ya 
Pai Tanzania, zilizofanyika kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es
 Salaam.

Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
 akimkabidhi zawadiHaji Hassan, wa Shule ya Sekondari Feza Boys ya 
Jijini Dar es Salaam,  aliyeibuka mshindi wa pili  katika shindano la 
‘Junior Mathematics Contest 2013’ wakati wa sherehe za maadhimisho ya 
Siku ya Pai Tanzania, zilizofanyika kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja 
jijini Dar es Salaam.

Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
 akimkabidhi zawadi, Pelucy John, wa Shule ya Sekondari Nganza Mwanza,  
aliyeibuka mshindi wa kwanza kwa wasichana katika shindano la ‘Senior  
Mathematics Contest 2013’ wakati wa sherehe za maadhimisho ya Siku ya 
Pai Tanzania, zilizofanyika kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es
 Salaam.

Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
 akiangalia moja ya vitabu wakati alipokuwa akitembelea katika mabanda 
ya maonyesho kwenye sherehe za maadhimisho ya siku ya Pai Tanzania, leo 
kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.

Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
 akiangalia moja ya vitabu wakati alipokuwa akitembelea katika mabanda 
ya maonyesho kwenye sherehe za maadhimisho ya siku ya Pai Tanzania, leo 
kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Ofisa 
Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya uchapishaji Vitabu ya GDY Publications Co. 
Ltd, Gabriel Kitua. 

Wanafunzi wa Shule ya Msingi Uhuru Wasichana wakitoa burudani ya kwaya wakati wa sherehe hizo Mnazi Mmoja leo.

Wanafunzi
 wa Shule ya Msingi Umoja ya Kiwalani, jijini Dar es Salaam, wakitoa 
burudani ya ngoma w Makhirikhiri, wakati wa sherehe za maadhimisho ya 
siku ya Pai Tanzania, zilizofanyika kwenye viwanja vya  Mnazi Mmoja leo.

Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
 akisalimiana na kuagana na baadhi ya wanafunzi , wakati akiondoka 
kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, baada ya 
kuhitimisha sherehe za maadhimisho ya Siku ya Pai Tanzania.

Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
 akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi na wanafunzi 
waliofanya vizuri katika shindano la ‘Senior & Junior  Mathematics 
Contest 2013’, baada ya kuwakabidhi zawadi zao, wkati wa sherehe za 
maadhimisho ya Siku ya Pai Tanzania. (Picha na OMR).
 
No comments:
Post a Comment