Baadhi ya viongozi wa dini ya kiislamu kata mbalimbali za manispaa ya Tabora ambao walihudhuria katika mkutano wa kujadili maendeleo ya uislamu Tabora mjini uliofanyika Chuo cha Veta. |
Viongozi wa dini ya kiislamu madhehebu mbalimbali waliohudhria katika mkutano huo. |
Sheikh wa wilaya ya Tabora mjini Ustaadhi Ramadhani Rajab akitoa taarifa fupi ya maendeleo ya miradi mbalimbali ya uislamu katika mkutano huo uliokuwa na lengo la kujadili Maendeleo. |
Mkuu wa wilaya ya Tabora Bw.Suleiman Kumchaya akifungua mkutano wa waislamu ambapo aliwataka kuacha ubinafsi badala yake wachangamkie fursa za maendeleo zilizopo. |
No comments:
Post a Comment