Rais Mstaafu awamu ya pili mzee Ali Hassan Mwinyi kushoto akipiga makofi kwa pamoja na Mkurugenzi wa Mfuko wa PSPF kutoka kulia Bw.Adam
Mayingu na Katibu mkuu Ikulu Peter Ilomo aliyemwakilisha Mwenyekiti
wa bodi,Adam Malima Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi wakishiriki tendo
hilo mara baada ya Kuzinduliwa rasmi kwa huduma ya
kulipia michango kwa njia ya simu na kupata taarifa mbalimbali bila
kufuata ofisi za PSPF zilipo nchini kote wakati wa mkutano wa tatu wa
wadau wa mfuko wa Pensheni wa PSPF unaofanyika kwa siku mbili katika
ukumbi wa Mwalimu J. K. Nyerere jijini Dar es salaamRais
Mstaafu awamu ya pili mzee Ali Hassan Mwinyi akipokea zawadi yake
aliyokabidhiwa na mfuko huo kutoka kwa Bw. Peter Ilomo Katibu mkuu
Ikulu kulia ni Naibu Waziri wa Fedha Mh. Adam Malima Rais
Mstaafu awamu ya pili mzee Ali Hassan Mwinyi akionyesha zawadi yake
mara baada ya kukabidhiwa rasmi kulia ni Naibu waziri wa Fedha na Uchumi
Mh. Adam Malima na kushoto ni Katibu Mkuu Ikulu Peter Ilomo. Rais Mstaafu awamu ya pili mzee Ali Hassan Mwinyi akishuhudia wakati Katibu
Mkuu Ikulu Bw. Peter Ilomo akimkabidhi zawadi ya tuzo maalum Naibu
Waziri wa Fedha na Uchumi Mh. Adam Malima wakati wa mkutano wa wadau wa
Mfuko wa Pensheni wa PSPF. Rais
Mstaafu awamu ya pili mzee Ali Hassan Mwinyi akishuhudia Katibu Mkuu wa
Ikulu Peter Ilomo wakati akimkabidhi kadi ya uanachama mwandishi na
mtangazaji wa ITV Bi. Fatma Nyangasa leo jijini Dar es salaam katika
mkutano wa siku mbili wa wadau wa PSPF wa pili kulia ni Naibu Waziri wa
Fedha Mh. Adam Malima. Rais
Mstaafu awamu ya pili mzee Ali Hassan Mwinyi akishuhudia Katibu Mkuu wa
Ikulu Peter Ilomo wakati akimkabidhi kadi ya uanachama mwandishi na
mpiga picha wa Chanel Ten Bw. Shadrack Peter leo jijini Dar es salaam
katika mkutano wa siku mbili wa wadau wa PSPF wa pili kulia ni Naibu
Waziri wa Fedha Mh. Adam Malima. Baadhi ya wakuu wa vitengo mbalimbali vya Mfuko wa Pensheni wa PSPF wakiwa katika mkutano huo leo Katibu Mkuu wa Ikulu Peter Ilomo akizungumza wakati alipokuwa akitoa shukurani zake kutoka PSPF. Rais
Mstaafu awamu ya pili mzee Ali Hassan Mwinyi akitoa hotuba yake wakati
wa mkutano huo wa wadau wa PSPF unaofanyika kwa siku mbili jijini Dar es
salaam. Wadau mbalimbali wakiwa katika mkutano huo Naibu Waziri wa Fedha Mh. Adam Malima akimkaribisha Rais mstaafu Mzee Ali Hassan Mwinyi ili kutoka hotuba yake. Wadau wakifuatilia hotuba mbalimbali katika mkutano huo. Wadau wakifuatilia hotuba mbalimbali katika mkutano huo. Mkurugenzi wa Mfuko wa PSPF kutoka kulia Bw.Adam Mayingu wageni mbalimbali waliohudhuria kushiriki katika mkutano huo kabla ya mkutano kuanza rasmi. Rais Mstaafu awamu ya pili mzee Ali Hassan Mwinyi akishuhudia Mkurugenzi wa mtandao huu Bw. John Bukuku akionyesha kadi yake ya uanachama wa PSPF mara baada ya kukabidhiwa na Katibu Mkuu wa Ikulu Peter Ilomo leo jijini Dar es salaam katika mkutano wa siku mbili wa wadau wa PSPF wa pili kulia ni Naibu Waziri wa Fedha Mh. Adam Malima. Rais Mstaafu awamu ya pili mzee Ali Hassan Mwinyi akishuhudia Katibu Mkuu wa Ikulu Peter Ilomo wakati akimkabidhi kadi ya uanachama John Bukuku mwandishi na Mkurugenzi wa mtandao wa WWW.FULLSHANGWEBLOG.COM leo jijini Dar es salaam katika mkutano wa siku mbili wa wadau wa PSPF wa pili kulia ni Naibu Waziri wa Fedha Mh. Adam Malima.
No comments:
Post a Comment