Mwili wa marehemu Mihambo Mhelule aliyeuawa kwa kuchinjwa na mdogo wake anayefahamika kwa jina la Mihambo Kulwa mkazi wa kijiji cha Ikomwa manispaa ya Tabora,Chanzo cha mauaji ni kwamba marehemu alikuwa akimuonya mdogo wake juu ya kuihudumia familia yake moja kati ya familia mbili alizonazo ambapo ilielezwa kuwa familia ya mke mmoja alikuwa kaitelekeza....Mdogo wa marehemu baada ya kuelezwa ukweli na kaka yake aliamua kushika panga na kumchinja kama kuku kaka yake na baadaye kutokomea kusikojulikana,. |
No comments:
Post a Comment