Mtoa huduma za afya Ilolangulu akionesha namna ya kunawa mikono na kuepuka kupata magonjwa ya mlipuko.
Baadhi ya wanafunzi wakiimba nyimbo za kuhamasisha unawaji mikono kabla na baada ya kula chakula.
Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Uyui Bw.Said Ntahondi akikabidhi chombo maalumu kwa ajili ya kunawia mikono wakati wa maadhimisho ya siku ya kunawa mikono duniani iliyofanyika tarafa ya Ilolangulu.
Baadhi ya watumishi wa mradi wa vijiji vya Milenia Mbola wakionesha kufurahia siku ya kunawa mikono duniani ambapo sherehe hizo ziliandaliwa na mradi wa MVP.
Kaimu kiongozi wa mradi wa MVP akizungumza na wananchi wakati wa maadhimisho hayo ya siku ya kunawa mikono duniani
Wanafunzi waliendelea kutoa ujumbe wa kuhamasisha unawaji mikono kama kinga endelevu dhidi ya magonjwa ya mlipuko.

No comments:
Post a Comment