Waziri wa Ujenzi Dr.John Pombe Magufuli akihutubia baadhi ya wananchi Soko kuu la Tabora ambapo waziri huyo hapa alilazimika kuzungumza akiwa juu ya meza ya kuuzia Mitumba hali iliyowashangaza idadi kubwa ya watu waliokuwa wakimsikiliza namna Serikali awamu ya nne inavyoweza kutekeleza miradi ya ujenzi wa mitandao ya barabara za Lami nchini. |
No comments:
Post a Comment