Pages

KAPIPI TV

Friday, November 1, 2013

WAANDISHI WA HABARI TABORA WAFANYA MKUTANO NA WADAU WA HABARI

Wadau wa habari  na  Waandishi wa habari  wa  mkoa  wa  Tabora  katika  mkutano  wa  pamoja  wa  kujadili  sekta  ya habari  na  inavyotoa  mchango  wake  kwa jamii katika  kuleta  Maendeleo.
 Baadhi ya  wadau  mbalimbali  ambao  walihudhuria katika  mkutano huo ulioitishwa na Chama cha Waandishi wa habari mkoa wa Tabora TBPC.
 Baadhi ya  viongozi wa dini na vyama vya siasa nao walihudhuria mkutano huo uliofanyika kituo cha Wanafunzi Tabora mjini.
 Mkurugenzi wa Chuo cha Musoma Utalii Bw.Shaban Mrutu akitoa maada katika mkutano huo uliowakutanisha waandishi na wadau wa habari mkoa wa Tabora.

 Baadhi ya wanafunzi wa Chuo cha Musoma Utalii tawi la Tabora ambao walihudhuria katika mkutano huo wa siku moja.


No comments: