Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akiweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Nyumba 851 za Watumishi wa
Umma zinazojengwa katika eneo la Bunju B, Wilaya ya Kinondoni Jijini Dar
es Salaam, wakati wa sherehe hiyo liyofanyika leo. Kutoka (kushoto) ni
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Jordan Rugimbana, Mwenyekiti wa Kamati ya
Bunge ya kudumu ya Miundombinu, Peter Serukamba, Waziri wa Ujnezi, Dkt.
John Pombe Magufuli na (kushoto) kwa Makamu ni Mtendaji Mkuu wa TBA,
Elius Mwakalinga na Naibu Katibu Mkuu wa Ujenzi. (Picha na OMR).
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akiwahutubia wananchi wa Bunju B, wakati alipofika kuweka Jiwe la
Msingi la Ujenzi wa Nyumba 851 za Watumishi wa Umma zinazojengwa katika
eneo hilo, Wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam, wakati wa sherehe
hiyo liyofanyika leo.
Waziri
wa Ujenzi, Dkt. John Pombe Magufuli, akizungumza machache na wananchi
wa Bunju B, kabla ya kumkaribusha Makamu wa Rais, Dkt. Bilal,
kuwahutubia Wanancnhi hao, wakati alipofika kuweka Jiwe la Msingi la
Ujenzi wa Nyumba 851 za Watumishi wa Umma zinazojengwa katika eneo hilo,
Wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam, wakati wa sherehe
hiyo liyofanyika leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisikiliza maelezo kutoka kwa Mtendaji Mkuu wa TBA, Elius Mwakalinga,
wakati akikagua ramani za ujenzi wa Makazi ya Nyumba 851 za Watumishi
wa Umma zinazojengwa katika eneo la Bunju B, Wilaya ya Kinondoni Jijini
Dar es Salaam, wakati wa sherehe hiyo liyofanyika leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzanoa, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akitambulishwa kwa baadhi ya Viongozi mbalimbali wa Wizara na
TBA, wakati alipowasili katika shighuli hiyo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa Wizara ya
Ujenzi na TBA.12:- Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Vijana wa Kikundi cha
Uhamasishaji, waliokuwepo katika sherehe hiyo, mara baada ya kuweka Jiwe
la Msingi la Ujenzi wa Nyumba 851 za Watumishi wa Umma
zinazojengwa katika eneo hilo, Wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam,
wakati wa sherehe hiyo liyofanyika leo
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akipunga mkono kuwaaga wananchi wa Bunju B, wakati akiondoka eneo
hilo baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Nyumba 851 za
Watumishi wa Umma zinazojengwa katika eneo hilo, Wilaya ya Kinondoni
Jijini Dar es Salaam, wakati wa sherehe hiyo iliyofanyika leo. (Picha na
OMR).
No comments:
Post a Comment