Pages

KAPIPI TV

Wednesday, September 11, 2013

"BIBI ANUSURIKA KUUAWA TABORA KWA MADAI KUWA ETI NI MCHAWI"

Bibi Hadija Masoud mkazi wa Tabora Itetemia ambaye amenusurika kuuawa kwa kupigwa na wananchi kwa madai kuwa ni mchawi ambaye aliingia katika moja ya Wadi za kulaza wagonjwa katika Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Tabora Kitete...Nilizungumza na bibi huyu na kubaini kuwa mbali ya kuwa na matatizo ya akili kulingana na umri wake lakini alikuwa akisumbuliwa na njaa hivyo kusababisha aanze kutapatapa kutafuta chakula hata akaingia hospitalini hapo na kuonekana kuwa ni mchawi baada ya kuuliza chakula Wodini.


No comments: