Aliyekuwa Katibu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana CCM Wilaya ya Tabora mjini JUDITH MLELA amefairiki leo,...Taarifa za awali zinaeleza kuwa Judith alikuwa amelazwa hospitali ya mkoa wa Tabora akisumbulizwa na Malaria,maradhi ambayo ameugua katika kipindi cha muda mfupi na hata kusababisha kifo chake.
Mtandao huu unafuatilia kwa karibu mipango ya mazishi na tutawajuza mara baada ya mawasiliano na viongozi wa ccm wilaya ya Tabora.
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA AMENI.
No comments:
Post a Comment