Pages

KAPIPI TV

Wednesday, August 7, 2013

MWAKASAKA ATOA MSAADA WA VITU VYA ZAIDI YA SHILINGI MIL.NANE TABORA GIRLS

Mjumbe wa halmashauri kuu ya ccm wilaya ya Tabora mjini Bw.Emmanuel Mwakasaka  akikabidhi  moja ya seti tatu za kompyuta alizotoa msaada kwa Shule ya Sekondari ya Tabora Wasichana,msaada huo ni pamoja na Jenereta na Projector wenye thamani ya zaidi ya shilingi mil.nane na nusu.
Mkuu wa Shule ya Tabora Wasichana  Bi.Helen  Makala  akipokea msaada kutoka kwa Bw.Mwakasaka.
Jenereta iliyotolewa msaada  kwa Shule hiyo.
Mwenyekiti wa UVCCM wilaya ya Tabora mjini  Mwalimu  Lucas Masanja akizungumza katika hafla fupi ya kukabidhi msaada huo.




No comments: