LHRC YATOA MAFUNZO YA RASIMU YA KATIBA KWA ALBINO TABORA
Kutoka kushoto ni Katibu mkuu wa Chama cha Maalbino Tabora Bw.Ramadhani Nassor,anayefuata katikati ni mkufunzi kutoka kituo cha Sheria na haki za binadam LHRC Bi.Lilian ambaye alikuwa akitoa mafunzo kuhusu rasimu ya Katiba mpya.
No comments:
Post a Comment