WAISLAMU WAPONGEZA MAHUSIANO BAINA YAO NA WAKRISTO TABORA
Mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM wilaya ya Tabora Bw.Emmanuel Mwakasaka akiongea na waumini wa dini za kikristo na kiislamu katika hafla fupi ya Futari aliyoiandaa ambapo zaidi ya watu 450 walihudhuria katika ukumbi wa Chuo cha Utumishi wa Umma Tabora mjini.
Sheikh mkuu wa mkoa wa Tabora Sheikh Shaaban Salum akizungumza katika hadhara hiyo.
Mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM wilaya ya Tabora Bw.Emmanuel Mwakasaka akijumuika na waumini wa dini ya Kiislamu katika hafla ya Futari hiyo.
No comments:
Post a Comment