Pages

KAPIPI TV

Sunday, June 30, 2013

AKATWAKATWA MAPANGA AKIDAIWA KUCHUKUA MKE WA MTU -TABORA

Ramadhani Mahanga ambaye amenusurika kuuawa baada ya kukatwakatwa mapanga na kijana mwenzake anayefahamika kwa jina la Juma  Hamisi ambaye alidai anatembea na mkewe na hivyo kuchukua uamuzi wa kutaka kumuua huko katika kijiji cha Isenga manispaa ya Tabora.
Baba wa kijana  Juma Hamisi ambaye anadaiwa kumkatakata  mapanga Ramadhani Mahanga akiwa amekwenda kumjulia hali katika Hospitali ya mkoa wa Tabora Kitete ambako amelazwa kwa ajili ya matibabu.


No comments: