Pages

KAPIPI TV

Saturday, June 29, 2013

DIAMOND AFANYA SHOW YA BEI KUBWA TABORA WENGI WASHINDWA KUHUDHURIA


 Msanii maarufu nchini Diamond hapa akiwa katika Show yake iliyofanyika ukumbi wa Frankman Hotel mjini Tabora.
 
 Mapenzi sasa basi yana-run sana
 Diamond wakati akiamua kucheza na kuonesha namna anavyoweza kujiachia katika Jukwaa la ukumbi wa Frankman Hotel.

 Hii ilikuwa lazima kwa wapenzi wa muziki wa BongoFleva kuchukua picha za msanii nguli Diamond kwa kutumia camera za simu.
 
 Kazi na dawa
 Tabora piga keleleeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.........!
 Wadau mbalimbali wa KAPIPIJhabari.COM nao walihudhuria katika show hiyo ya watu wa heshima kwa viwango vya juu vya kiingilio.
 wadau hao waliotokelezea kisafi zaidi
Haikuwa vibaya kwa wadau hawa kushindwa kuzuia hisia zao kama ilivyoonekana kwa Mwanadada huyu ambaye alilazimika kujiachia pasipo kutarajia ndani ya Show hiyo ya heshima.
 "YES ni SISI"
 six pillars wakicheza
Six Pillars | Tabora Dancers wakibadilishana mawazo na Dancer wa Platinum

No comments: