Uzinduzi wa mpango mkakati huo wa mtandao wa watetezi wa haki za binadamu THRDS wa miaka mitano 2013 - 2017 mara baada ya kuziduliwa picha ya pamoja ilipigwa kuashiria utekelezaji unaanza mara moja kutoka kulia ni Mratibu wa THRDS Bw.Onesmo ole Ngulumwa,Mgeni rasmi Rais wa chama cha wanasheria nchini TLS Bw.Francis Stola,Mwenyekiti wa THRDS Bi.Martina Kabisama na mwakilishi kutoka Uganda'
Wadau wa haki za binadamu nchi ambao walihudhuria katika uzinduzi huo uliofanyika katika hotel ya New Africa jijini Dar-es-salaam
Mwenyekiti wa THRDS Bi.Martina Kabisama akizungumza na waandishi wa habari,mahojiano maalumu yaliyofanyika mara baada ya uzinduzi huo.
Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na haki za binadamu Dr.Helen Kijo-Bisimba akihojiwa na waandishi wa habari kwa ufafanuzi wa masuala mbalimbali ya kisheria.
Wawakilishi na mabalozi wa nchi mbalimbali za jumuiya ya Ulaya nchini Tanzania wakiwa wamehudhuria katika uzinduzi huo.

No comments:
Post a Comment