Mariam Samwel(18) akiwa amelala hajitambui baada ya kugongwa na gari maeneo ya kata ya Isevya barabara ya Kazima,inasemekana binti huyu alikuwa amebebwa katika usafiri wa Bodaboda na mara baada ya kugongwa na gari hiyo ndogo aina ya Escudo alitelekezwa hadi hapo alipopatikana msamalia mwema ambaye alimbeba katika gari yake ndogo na kumpeleka Hospitali ya mkoa wa Tabora Kitete baada ya kupitia kituo kikubwa cha Polisi Tabora.
No comments:
Post a Comment