Kiongozi wa kikundi cha Mwenge Sanaa akipokea fedha kiasi cha shilingi laki sita kutoka kwa mkuu wa wilaya ya Tabora Bw.Suleiman Kumchaya ikiwa ni zawadi ya mshindi wa kwanza katika mashindano hayo yanayodhaminiwa na Kampuni ya bia nchini TBL ambapo yalishirikisha vikundi kumi vya ngoma za asili.
Maafisa wa TBL ambao ndio wadhamini pekee wa mashindano hayo wakijaribu kumueleza jambo mkuu wa wilaya ya Tabora ambaye alikuwa mgeni rasmi katika mashindano hayo.
Namna ya kuchezea nyoka waliokuwa na sumu na wale ambao hawana sumu, nayo ilikuwa sehemu ya vionjo katika mashindano hayo.
Kiongozi wa kikundi cha Sanaa cha Mwenge akionesha fedha zawadi ya shilingi laki sita taslimu baada ya kushika nafasi ya kwanza katika mashindano hayo.
Vituko navyo havikukosekana,...Baba aamua kucheza na mwanawe kuonesha umahili wao katika fani.
Kukindi cha ngoma asili Wayege kilipata shilingi laki moja na nusu kwa kushiriki mashindano hayo.
Kikundi cha Sanaa cha Magereza kilivoshiriki katika mashindano hayo na kushika nafasi ya pili katika ya vikundi kumi ambapo ilijinyakulia kiasi cha shilingi laki tano taslimu.
Ngoma ya asili ya kabila la wasukuma inayojulikana kama Ugowogowo chenye makazi yake wilayani Uyui mkoani Tabora.
Kikundi cha ngoma ya asili kijulikanacho kama Zugo
Ngoma ya Radu ambao pia ni ya wenyeji wa mkoa wa Tabora yenye makao yake makuu wilyani Sikonge.

Ngoma ya wenyeji wa mji wa Tabora ,Waswezi ambayo ilishiriki katika mashindano hayo ya ngoma za asili katika viwanja vya Ipuli mnadani .
Mkuu wa wilaya ya Tabora akiongea na vikundi vya wasanii walishiriki katika masindano hayo ambapo mkuu huyo aliipongeza kampuni ya bia nchini TBL kwa kuamua kuanzisha mashindano hayo yenye lengo la kulinda utamaduni wa asili kwa mikoa ya kanda ya ziwa.
No comments:
Post a Comment