Pages

KAPIPI TV

Friday, July 6, 2012

TBL YADHAMINI MASHINDANO YA POOLTABLE KUMSAKA BINGWA WA MKOA WA TABORA

 Afisa utamaduni manispaa ya Tabora Mark Katunzi akipokea fedha kutoka kwa mwakilishi wa kampuni ya bia TBL Tabora Diamond Mawani kwa ajili ya posho kwa timu shiriki katika mashindanpo ya Pooltable ambayo yameanza kutimua vumbi hapa katika ukumbi wa Frankmann Hotel kusaka timu ya mkoa wa Tabora itakayowakilisha katika mashindano hayo ya kitaifa yanayotarajiwa kufanyika jijini Mwanza.
 Mmoja kati ya wachezaji wa mchezo wa Pooltable akipokea fedha kwa ajili ya maandalizi ya michuano hiyo kwa ngazi ya mkoa wa Tabora,ambapo timu sita zimethibitsha kushiriki michuano hiyo .
Mratibu wa mashindano ya Pooltable mkoani Tabora Joseph Kessy akizungumza wakati wa zoezi la ugawaji wa vifaa kabla ya ufunguzi wa mashindano hayo yanayofanyika katika ukumbi wa Frankmann Hotel hapa mjini Tabora.

No comments: