Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Alhaji Alli Hassan
Mwinyi(katikati) akimkabidhi vitabu vya Utii wa sheria ni dhawabu na
Baraka za Utii Sheikh wa mkoa wa Dar es salaam Alhad Mussa Salum baada
ya kuvizindua jijini Dar Es Salaam jana.Kulia ni Mkuu wa Jeshi la Polisi
nchini Said Mwema
na kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Baraza la makanisa ya kipetenkoste
Askofu Daniel Aweti.(Picha na Jeshi la Polisi)
|
No comments:
Post a Comment