Pages

KAPIPI TV

Wednesday, May 2, 2012

MAHANGA ASHINDA KESI YA KUPINGA MATOKEO YA UCHAGUZI JIMBO LA SEGEREA

Mbunge wa jimbo la Segerea (CCM) na naibu Waziri wa Kazi na Ajira Mhe. Makongoro Mahanga akilakiwa na wafuasi wa wake baada ya kuibuka kidedea katika kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa jimbo hilo  iliyokuwa inamkabili katika mahakama kuu ya Tanzania dhidi ya mgombea wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA  Bw. Fredi Mpendazoe.
(PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE)
Baadhi ya wafuasi wa Fredi mpendazoe na wafuasi wa Makongoro Mahanga
wakiwa nje ya mahakama mara baada ya hukumu ya kesi hiyo kutolewa.
Katika Wafuasi wa Freddy m Mpendazoe wakiwa na picha ya aliyekuwa mgombea  wao baada ya kushindwa kesi hiyo.
Askari wa jeshi la polisi wakiwa makini kulinda usalama mara baada
ya kesi hiyo kuamuliwa katika mahakama kuu leo.

No comments: