Pages

KAPIPI TV

Wednesday, May 2, 2012

HUYU NDIYE MKURUGENZI WA TABORA TELEVISION BROADCASTING LTD,BW. SHASHIKANTI PATEL

Mkurugenzi mtendaji wa Tabora Television Broadcasting Ltd Bw.Shashikant Patel

TABORA TELEVISION au TtV kama ilivyozoeleka na kwa umaarufu wake hapa mjini Tabora,kampuni ambayo imebobea kwa kutoa huduma bora ya matangazo ya Televisheni kwa njia ya Cable.

Kampuni hii ambayo kwasasa imeingia katika mfumo mpya wa kutumia Fiber ambayo inawezesha matangazo yake kuonekana kwa ung'avu wa hali ya juu na hivyo kusababisha wateja kuridhia huduma bora ya matangazo.

Aidha Ttv ambayo kwasasa inatoa huduma kwa wateja wake kwa zaidi ya Channel 80 zikiwemo zinazoonesha michezo mbalimbali bila kusahau soka la kimataifa.

Wako mtaa wa Balewa nyuma ya msikiti mkuu wa Ijumaa Tabora mjini.   

No comments: