Pages

KAPIPI TV

Sunday, May 6, 2012

JK KUWAAPISHA MAWAZIRI NA MANAIBU KESHO


Na Mwandishi Wetu
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, Rais Jakaya Kikwete kesho, Jumatatu, May 7, 2012, atawaapisha mawaziri na Manaibu mawaziri aliowateua katika mabadiliko makubwa ya Baraza la Mawaziri aliyoyatangaza Ijumaa iliyopita Ikulu jijini Dar es Salaam. Taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu jijini Dar es Salaam, imesema sherehe za kuapishwa kwa mawaziri hao zitafanyika kwenye viwanja vya Ikulu kuanzia saa 5.30 asubuhi.

No comments: