Pages

KAPIPI TV

Sunday, May 6, 2012

AJALI MBAYA YA LORI SARANDA

 Picha za matukio ya ajali ya lori eneo la Saranda,ambapo watu wanne walijeruhiwa akiwemo dereva na kondakta wa gari hilo ambalo namba zake za usajili ni T 678 BNH aina ya Scania lililokuwa likifanya safari yake kutoka Singida kuelekea Dar-es-salaam.

Kwamujibu wa maelezo kutoka eneo la tukio kondakta wa Lori hilo anayefahamika kwa jina BIG au Dunia alibanwa na kushindwa kutoka hadi wasamalia wema walivyojitokeza kumuokoa kwa kukata baadhi ya vyuma vya Lori hilo kwa zaidi ya saa nne.

Kondakta huyo alipelekwa katika hospitali ya Manyoni kuungana na majeruhi wenzake akiwemo dereva kwa ajili ya matibabu.






No comments: