Pages

KAPIPI TV

Wednesday, March 7, 2012

WANAFUNZI LOLANGULU WAZIDI KUNUFAIKA."Wanasoma na wanafunzi wengine wa nchini Marekani kupitia mtandao"

 WANAFUNZI:Wakiwa wanasoma na wenzao wa nchini Marekani kwa kupitia mtandao wa Skype

 HAPPINESS MGAYA:Mratibu wa elimu katika mradi wa Milenia Mbola wakati wa siku ya kusoma kwa sauti duniani akiwa na baadhi ya wanafunzi wa shule za msingi na sekondari Lolangulu Uyui mkoani Tabora.

No comments: