SOKO KUU LA TABORA MJINI:Lilijengwa kabla ya Uhuru wa Tanganyika...kwasasa linatumika na kutegemewa kama soko la kisasa lakini cha ajabu soko hili hali vyoo kwa ajili wateja hata wafanyabiashara pia.
Kama ukienda sokoni kisha tumbo la kuharisha likakubana ghafla...vijana wa kisasa wanasema itakula kwako.
Baadhi ya wakazi wa Tabora wakiwemo wafanyabiashara wamelalamikia na kuhitaji kuwepo kwa umuhimu wa mabadiliko ya kujengwa kwa soko kuu la kisasa na linalokwenda na wakati kutokana na mji wa Tabora kuendelea kupanuka siku hadi siku.

No comments:
Post a Comment