Rais wa Chama cha Waajiri Afrika na Mwenyekiti wa Sekta Binafsi ya Ulinzi nchini Bw.Almas Maige achukua fomu ya kuwania Ubunge kupitia kura za maoni CCM jimbo la Tabora Kaskazini,ambapo moja kati ya vipaumbele vyake endapo CCM itampa ridhaa na kufanikiwa kuwa Mbunge wa Jimbo la Tabora Kaskazini atashughulikia kero mbalimbali zikiwemo za ukosefu wa maji pamoja na matatizo ya Wakulima wa zao la tumbaku.
|
No comments:
Post a Comment