MWENYEKITI WA CCM WILAYA YA UYUI BW.MUSSA NTIMIZI ACHUKUA FOMU YA KUOMBA RIDHAA YA KUWANIA UBUNGE JIMBO LA IGALULA
Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Uyui Bw.Mussa Ntimizi akikabidhiwa fomu ya kuomba ridhaa kwa chama chake kiweze kumteua kugombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Igalula ambapo ametaja vipaumbele vyake kadhaa ikiwa ni pamoja kutatua kero za wananchi ikiwemo tatizo la maji,miundo mbinu ya huduma za Afya pamoja kilimo cha tumbaku kwa wakulima wa wilaya ya Uyui.
Ntimizi akisaini kuchukua fomu ya kuomba ridhaa kwa CCM ya kuwania Ubunge katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.
Mussa Ntimizi akionesha fomu kwa waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vya habari mjini Tabora.
No comments:
Post a Comment