Mkurugenzi wa Chama cha Wanasayansi vijana wa Tanzania, Dk.Kamugisha Gozibert akizungumza na waandishi wa habari(hawapo picha) kuhusu onesho la Young Scientists Tanzania (YST) kwa mwaka wa 2015 na kueleza kuwa onesho ilo litafanyika kwa siku tatu katika ukumbi wa
Diamond Jubilee kuanzia tarehe 5 hadi 7 August 2015 ambapo wanafunzi wataweza kuonesha tafiti za kisayansi na kitekinologia zilifanywa na
wanafunzi wa sekondari kwa takribani mwaka mmoja.
Mwakilishi wa Ubalozi wa Ireland nchini, Brian Nolan akizungumza jambo wakati wa utangazaji rasmi wa Onesho la Young Scientists Tanzania (YST) kwa mwaka wa 2015 ambao wa wameamua kuwa wadhamini wa Onesho ilo.
Vice President, Policy and Corporate Affairs, John Ulanga akizungumza na waandishi wa habari(hawapo pichani) kususu udhamini wao katika onesho la Young Scientists Tanzania (YST) kwa mwaka wa 2015 ambapo mwaka huu wamedhamini kiasi cha Dolla laki mbili (200,000) pia wanadhamini wanafunzi wote kwa kwenda kusoma chuo chodhote kwa wale watakaoshinda kwenye onesho la mwaka huu.
Waandishi wa habari wakiendelea kuchukua matukio
No comments:
Post a Comment