Pages

KAPIPI TV

Tuesday, December 23, 2014

WANACHAMA WA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA WILAYANI URAMBO WAFURAHIA HUDUMA BORA ZA MATIBABU

Baadhi ya wanachama wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya wilayani Urambo wameelezea upatikanaji wa huduma bora za matibabu pindi wanapougua na kufika hospitali ya wilaya ya Urambo mahali ambapo wamepangiwa dirisha lao maalumu kwa ajili ya kusikilizwa na kupatiwa huduma hizo pasipo usumbufu.....Mmoja kati ya wanachama wa Mfuko huo wa NHIF Bi.Mariam Shaban alizungumza na mtandao huu(KAPIPIJhabari.COM) ambapo alibainisha kuwa huduma zinazotolewa kwa wanachama wa mfuko huo zimekuwa ni za kuridhisha na kwamba hakuna mtu anayepanga foleni wakati wa kuonana na Daktari na hata kupatiwa matibabu.

No comments: