Mkuu wa Taasisi ya kuzia na kupambana na rushwa wilaya ya Tabora mjini Bi.Julieth Mtui akizungumza na askari Polisi wakiwemo maafisa wa Jeshi hilo ngazi ya mkoa na wilaya ambapo aliwaonya kutojihusisha na vitendo vya rushwa kwakuwa kufanya hivyo ni kinyume na ukiukwaji wa maadili. |
No comments:
Post a Comment