|  | 
| Baadhi ya wananchi wa wadau wa Afya wakifanya maandamano wakati wa Uzinduzi wa kampeni ya NYOTA YA KIJANI uliofanyika eneo la kumbukumbu ya Mwl.Nyerere Tabora mjini. | 
|  | 
|  | 
| Katibu tawala mkoa wa Tabora Bi.Kudra Mwinyimvua akizungumza katika uzinduzi huo ambapo aliwataka akina mama kujitokeza kutumia huduma za uzazi wa mpango. | 
 







 
 
No comments:
Post a Comment